Msemaji wa masuala ya usalama wa safari za ndege Australia, John Young, akiongea na waandishi wa habari.
Mabaki
ya ndege pichani ambayo kimoja kina ukubwa wa mita 24, yameonekana
umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi mwa pwani ya Australia.
*********
Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya nchi
hiyo imenasa picha za vitu vinavyoonekana kama mabaki ambavyo
↧