Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la
KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mhaya, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi
ya Jamii (Social Science) anayeishi Block Namba 11, chumba Namba 62,
alijitupa kutoka ghorofa ya pili hadi chini na kusababisha majeraha
sehemu za mdomoni, shingoni na paji la uso.
Kamanda wa
↧