UONGOZI wa juu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kesho utahamia katika Makao
Makuu ya Tanzania, Dodoma, kushuhudia hotuba ya kihistoria itakayotolewa
na Rais Jakaya Kikwete mbele ya Bunge Maalumu la Katiba.
Hotuba hiyo ya Rais inasubiriwa kwa hamu na Watanzania, kutoa dira
kwa wajumbe wa Bunge hilo Maalumu la Katiba, wakati
↧