KATIKA utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya kazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kigoma, Miriam Mbaga, alitangaza mbinu hizo jana wakati alipozungumza kwenye kikao cha maandalizi ya mapokezi hayo.
Alisema pamoja na maandalizi mengine,
↧