Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis
Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya
Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza
saa 9:00 mchana na kufuatiwa na hutuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum
itakayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete saa 10 jioni. Kwa maelezo zaidi piga
↧