MWENYEKITI wa CHADEMA Wilaya ya Ngorongoro, Revocatus Parapara, amepinga vikali hatua ya uongozi wa chama hicho ngazi ya mkoa kumvua madaraka ya uenyekiti.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha, Parapara alisema kuwa hatua ya kuvuliwa kwa wadhifa huo ni mbinu chafu na za kupikwa zilizofanywa na uongozi wa chama hicho ngazi ya mkoa kwa lengo la kumharibia.
Alisema kuwa
↧