$ 0 0 Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar es Salaam kwa sasa inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Credit: GPL <!-- adsense -->