Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili.
Mama Salma Kikwete akimlaki kijana wake,ambaye ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Kikwete.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukeli a.k.a Mwana wa Chalinze akitoa
burudani kwa Wana Chalinze waliofika kwa kwenye Uzinduzi wa Kampeni
↧