MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la
Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameahidi
kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta ili
kuboresha kilimo kiwe na tija.
Alitoa ahadi hiyo wakati wa mikutano ya kampeni kwenye vijiji vya
Mindukene, Msigi, Kisanga vyote vikiwa kwenye kata ya Talawanda.
Kikwete alisema
↧