Shabiki wa Timu ya Yanga SC,
Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia jana jioni baada
ya kuanguka ghafla wakati akishangilia bao la Yanga lililofungwa na
Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza.
Marehemu amepoteza maisha akiwa
chumba cha matibabu mara baada ya kuwekewa mashine ya oksijeni na
taarifa kuhusu kifo cha shabiki huyo zimethibitishwa
↧