BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamewaonya wenzao ambao wamepanga kumzomea Rais Jakaya Kikwete wakati akitarajiwa kulihutubia bunge hilo kesho.
Onyo hilo walilitoa jana mjini Dodoma wakati wa semina maalum ya kupitia kanuni za bunge hilo, iliyofanyikia katika ukumbi wa Bunge.
Akichangia katika semina hiyo mmoja wa wajumbe hao, James Mbatia, alionya taarifa za kuwepo kwa
↧