Afisa
Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia)
akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo
jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza ukaguzi wa
leseni za biashara. Pembeni yake ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya
Uhamasishaji Biashara na Masoko, Mashingo Christopher.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Uhamasishaji Biashara
↧