Viongozi wa Chama cha ACT-Tanzania WAZOMEWA jukwaani baada ya kuifananisha...
VIONGOZI wa Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT), juzi walijikuta wakizomewa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Mbugani, Jimbo la Nyamagani,...
View ArticleSumaye akata rufaa kwa kutoridhishwa na uamuzi wa kumfungia mwaka mmoja CCM
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amekata rufaa Kamati Kuu ya CCM kupinga adhabu ya onyo kali aliyopewa na chama kutokana na madai ya kuanza kampeni za urais mapema kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao....
View ArticlePolisi wanne wafukuzwa kazi kwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu.......
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewafukuza kazi kwa fedheha askari wanne wa Jeshi la Polisi kutokana na makosa ya kujihusisha na vitendo vya uhalifu. Askari waliofukuzwa wanatoka katika...
View ArticleBunge maalumu la katiba lasitishwa kwa muda kutokana na vurugu zilizotokea...
Jumatatu ya leo, Machi 17, 2014 Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mhe. Sammuel Sitta amelazimika kukiahirisha kikao kilichokuwa kinaendelea jioni baada ya kutokea kutoelewana bainaa ya wajumbe na wabunge...
View ArticleTaarifa Muhimu kuhusu kuendelea kwa kikao cha bunge maalumu la katiba kesho...
Baada ya kutokea vurugugu zilizosababishwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum na kupelekea Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Jaji Joseph Warioba kutokuwasilisha rasimu ya pili ya Katiba...
View ArticleSerikali yatakiwa kukataa kuruhusu USHOGA nchini.....
Serikali imeombwa kufuata nyayo za serikali ya Uganda chini ya Rais Yoweri Museveni kwa kuktaa kuruhusu ushoga licha ya kuziudhi nchi za magharibi zinazokingia kifua vitendo hivyo. Ombi hilo limetolewa...
View ArticleYatokanayo na uchaguzi wa Kalenga, Madai ya CHADEMA kuibiwa kura na Matarajio...
Akiwa ameambatana na mkewe, Robby Mgimwa, Jumatatu ya Machi 17, 2014 Godfrey Mgimwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alitangazwa mshindi wa ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga baada ya...
View ArticleMahakama leo kutoa uamuzi wa pingamizi la DPP dhidi ya Sheikh Ponda
Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa uamuzi wa pingamizi la awali la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kupinga maombi ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la...
View ArticleUsafi wa Kigali nchini Rwanda wamshawishi Rose Ndauka kuanzisha kampeni ya...
Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye ni balozi wa usafi wa kampeni ya ‘Amka na Badilika Ng’arisha Tanzania’ amesema alijisikia wivu baada ya kuona usafi wa jiji la Kigali nchini Rwanda hali ambayo...
View ArticleOmbi la Sheikh Ponda latupiliwa mbali na Mahakama....Arudishwa Segerea akiwa...
Ombi la marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda limetupiliwa mbali na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo ilipotoa uamuzi wa pingamizi la...
View ArticleHotuba ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba , Mhe. Jaji Joseph Sinde...
Iliyowekwa hapo chini ni hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba alipowasilisha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge...
View ArticleHabari kuhusu hili kanisa jipya lililofunguliwa Kigoma linalokataza watoto...
Licha ya serikali kulipiga marufuku dhehebu lililoibuka katika kijiji cha Rumashi wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma liitwalo Sabato matengenezo, mwanzilishi wa dhehebu hilo amejitokeza na kusisitiza...
View ArticleBaraza la Sanaa na Idara ya Uhamiaji wazungumzia biashara ya ngono...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limekiri kuwepo kwa baadhi ya wasanii wa nje wanaokuja nchini kufanya kwa madai ya kufanya shughuli za Sanaa lakini hutumia vibali vyao vibaya kwa kujihusisha na...
View Article"Sina mpango wa kuolewa na mwanaume wa kibongo, lazima niolewe nje ya...
Star mkubwa wa filamu nchini Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabongo ambao hawathamini mastaa. Akizungumza na Uwazi, Wolper...
View ArticleSnura Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu...
Msanii mkongwe nchini maarufu kwa jina la Snura Mushi au Snura Majanga amenaswa live akiwa kwa sangoma ( mganga wa jadi ) akisafisha nyota yake kwa lengo la kujiongezea...
View ArticleShilole afungua mgahawa, unaitwa "CHUNA BUZI"
Star wa filamu na muziki nchini Shilole anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula utakaoitwa "Chuna Buzi " ambao utakuwa maeneo ya Mwananyamala.... Akizungumza kwenye 255 ya XXL, Clouds FM,Shilole...
View ArticleHuddah Monroe akana kutoka kimapenzi na Colonel Mustafa, adai alitafuta...
Mwezi uliopita aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye BBA, Huddah Monroe na Colonel Mustafa walitangaza uhusiano wao wa kimapenzi kwenye kipindi cha ‘Kiti Moto’cha KTN. Hata hivyo, Huddah ameibuka na...
View ArticlePicha tatu za muonekano wa Wema Sepetu akiwa amenyoa UPARA, na akiwa bila...
Huu ni muonekano mpya wa msanii Wema Sepetu akiwa kanyoa upara na akiwa bila make up.... <!-- adsense -->
View ArticleMadereva wa daladala mkoani Morogoro wagoma kuingia barabarani....Chanzo cha...
Madereva wa daladala Manispaa ya Morogoro wamegoma asubuhi hii wakidai kukamatwa hovyo na matrafiki na hakuna daladala linalofanya safari yoyote katika manispaa hiyo. Madereva hao wanadai wameamua...
View ArticleHabari kuhusu watu wanne waliouawa na wananchi wenye hasira kali mkoani...
WATU wanne wameuawa mkoani Mwanza kwa tuhuma za wizi wa ng’ombe Katika eneo la Igwambiti kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza...
View Article