Mbunge wa Arumeru Mshariki , Joshua Nassari aumbuka bungeni
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joshua Nassari, juzi alijikuta akiumbuka bungeni baada ya kushindwa kutaja kanuni aliyoitumia, kuomba mwongozo. Hali hiyo ilitokea muda mfupi kabla ya wajumbe...
View ArticleMgombea wa CHADEMA ajitetea....Apinga pingamizi la mgombea wa CUF...
MAJIBU/MAELEZO YA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA BWANA FABIAN L.SKAUKI DHIDI YANGU MIMI MATAYO M.TORONGEY MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). UTANGULIZI...
View ArticleSitta awaonya WAPAYUKAJI....Asisitiza nidhabu Bungeni, wakaidi...
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa...
View ArticleMicrosoft yawataka wateja wake waache kutumia Windows XP kutokana na ongezeko...
KOMPYUTA zinazotumia windows XP hazitoweza kupokea taarifa muhimu na kuongezeka mashambulizi ya virusi vya spyware vinavyoharibu taarifa binafsi na takwimu za kibiashara baada ya mwezi mmoja. Hayo...
View Article"Kuwa Miss Tanzania si lazima uwe Mcharuko"...Hapiness
Miss Tanzania 2013, Hapiness Watimanywa, ameibuka na kusema kuwa kunyakuwa taji la urembo wa Miss Tanzania sio tiketi ya kuwa na skendo mbalimbali au kufanya mambo ambayo ni kinyume na maadili....
View ArticleFilamu ya maisha ya Nuhu na gharika 'Noah' yapigwa marufuku nchi za kiarabu
Filamu ya Hollywood iliyochukua bajeti kubwa sana ikiwa na jina la ‘Noah’ ambayo imeigizwa na Russell Crowe kama Nuhu imepigwa marufuku kuoneshwa katika nchi wanachama wa Umoja wa nchi/Falme za Kiarabu...
View ArticleZoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalumu la katiba laendelea vyema mjini...
Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge...
View ArticleMbunge wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa akituhumiwa...
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi Mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Manyara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh.Rose Kamili...
View Article"Kama ni msh**enzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu"...Hii ni...
Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14 2014 zilitoka stori kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio. Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria...
View ArticleZoezi la Upigaji Kura Jimbo la KALENGA Laendelea Vizuri.....
Wananchi wa Nzihi wakiwa katika foleni wakisubiri kupiga kura Wananchi wa Nyamihuu wakisubiri kupiga kura leo Mwananchi wa Nyamihuu akisubiri kuingia kupiga kura Wananchi wa Nyamihuu wakiwa...
View ArticleWajumbe wa bunge maalumu la katiba wahitimisha zoezi la kuapa kwa muda...
Mwenyekiti wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa udhuru, na...
View ArticleViongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI) wafutiwa...
Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI) wamefutiwa mashitaka na mahakama ya wilaya ya Mwanakwerekwe dhidi ya kesi ya kufanya mkusanyiko bila ya kibali iliofunguliwa Mei mwaka...
View ArticleRais Kikwete akutana na mjumbe maalumu wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Maite...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Maite Nkoana-Mashabane, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nvhi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Jakaya...
View ArticleUkweli MCHUNGU: Wapinzani hawana sifa ya kuongoza nchi ( A Comparative...
SIASA ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama...
View ArticleNyumba za Jeshi la Polisi Mkoani Tanga zateketea kwa Moto.....
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la Chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha Chumbageni jijini Tanga zikiungua moto. Hahdi sasa chanzo cha moto huo pamoja na athari zake...
View ArticleRais Kikwete kulihutubia bunge maalum la Katiba tarehe 21 March 2014.....
Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum inawatangazia Wajumbe wa Bunge Maalum na umma kwa ujumla kuwa Mkutano wa Bunge Maalum utaendelea mjini Dododma kesho kwa ratiba ifuatayo: Tarehe 17/3/201 kuanzia saa...
View ArticleTaarifa ya TAMISEMI: Maagizo ya Ajira Mpya na majina ya walimu wapya kwa...
AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14. A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:- i....
View ArticleMatokeo ya Awali kutoka vituo mbalimbali vya Uchaguzi mdogo wa ubunge katika...
Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0 TOSA no.1 CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0 Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0 Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0 Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117,...
View ArticleMatokeo Rasmi ya Uchaguzi katika Jimbo la Kalenga Yametangazwa....CCM imepata...
Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga Iringa vijijini yametangazwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Iringa,kuwa chama cha CCM kimepata jumla ya kura 22962,na Chama cha Demokrasia na...
View ArticleMbunge wa CHADEMA amwaga MACHOZI akidai kudhalilishwa na wafuasi wa...
Mbunge wa Viti Maalum wa Chadema, Rose Kamili amedai kupigwa na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakati walipomkamata na kumshikilia kwa muda kwa tuhuma za...
View Article