Mkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala na wenzake 11 wanaohusika na jengo...
MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), amemfutia mashitaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61) na kisha kumuunganisha na wenzake 11 na kuwasomea upya mashtaka 27 ya mauji...
View Article"Atakaye Nioa Atafaidi MAPISHI yangu"...Maya
Msanii mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema licha ya kuwa bado hajaolewa lakini atakayemuoa atafaidi mapishi yake kwani ni fundi wa kupika. Maya alifunguka hayo juzikati wakati mwandishi wetu...
View ArticleCCM yahoji uwepo wa Helikopta ya CHADEMA siku ya kupiga kura katika uchaguzi...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehoji matumizi ya helikopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, Jumapili ijayo. Mratibu wa Kampeni za...
View ArticlePicha KALI za muonekano wa msanii Rose Ndauka miezi kadhaa baada ya Kujifungua
Huu ni Muonekano mpya wa Msanii Rose Ndauka ikiwa ni miezi kadhaa tu tangu ajifungue...Bado ni mrembo na yuko HOT kama zamani... Hili ni somo tosha kwa wasanii wa kike...
View ArticleMh. Samia Suluhu arudisha fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa...
Kina Mama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimsindikiza Mjumbe wa Bunge Hilo na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bi. Samia Suluhu Hassan(Aliyenyanyua fomu)kurudisha...
View ArticleIKULU Yamtaka Askofu Kakobe aache Porojo.....Yadai kuwa ofisi ya Kurugenzi ya...
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu imesema haina muda wa kujibu porojo zilizotolewa na Askofu wa kanisa la Full Gospel Fellowship, Zachary Kakobe kwani ina kazi kubwa ya...
View ArticleWema Sepetu akesha ukiomba na yeye apate mtoto....
Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto. Ilisemekana...
View ArticleTaarifa ya PINGAMIZI dhidi ya mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi mdogo jimbo...
Mimi FABIAN L. SKAUKI, mgombea ubunge wa uchaguzi mdogo jimbo la CHALINZE kwa Ticket ya THE CIVIC UNITED FRONT (CUF) ninamwekea Pingamizi mgombea wa chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba...
View ArticleTaarifa za Mtumbwi uliozama Mtwara leo na kuua akina mama watatu.....
Taarifa kutoka Mtwara ambazo zimethibitishwa na jeshi la Polisi zinaarifu kuhusu Mtumbwi ambao umezama wakati ukivuka kutoka kitongoji cha Ng’wale kwenda ng’ambo ya pili ambapo ndiyo sehemu...
View ArticlePicha: Juhudi zinazofanywa ili kumaliza tatizo la maji jijini Dar
Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka...
View ArticleRais Kikwete apokea ripoti ya mgawanyiko wa watu kwa Umri na Jinsi leo Ikulu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014...
View ArticleRidhiwani Kikwete arudisha fomu za Ubunge Chalinze.
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa...
View ArticleMhe.Samia Suluhu Hassan achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge maalumu la...
Hatimaye leo Bunge maalum la Katiba limemchagua Mhe.Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu Mwenyekiti wake mjini Dodoma. Hii inakuja baada ya jana kumchagua Mhe.Samweli Sitta kuwa Mwenyekiti. Mhe Hassan...
View ArticleMh.Yahya Khamis Hamad ateuliwa kuwa katibu wa Bunge maalumu la Katiba....Dkt....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya kesho, Ijumaa, Machi 14, atamwapisha Katibu wa Baraza la Wawakilishi Bwana Yahya Khamis Hamad kuwa Katibu wa Bunge...
View ArticleJeshi la Polisi labuni mkakati mpya utakao komesha AJALI nchini
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Dodoma Jeshi la Polisi nchini limebuni mikakati itakayosaidia kukomesha ajali za barabarani kwa kuvishirikisha vikosikazi vya Polisi Jamii vilivyotawanywa katika...
View ArticleHelikopta ya CHADEMA yapigwa marufuku siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga...
Polisi katika Mkoa wa Iringa, imepiga marufuku matumizi ya helkopta siku ya uchaguzi mdogo wa Kalenga, kwa madai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kupiga kampeni. Kamanda wa Polisi mkoani hapa,...
View ArticlePicha ya Rais Kikwete na viongozi wa bunge la katiba baada ya kuwaapisha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John...
View Article"Sichagui dini wala Kabila, Ninachoangalia ni Penzi la dhati la huyo mwanaume...
Msanii maarufu Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa kwenye suala la uhusiano, hana kipingamizi sana kwani anachoangalia ni mtu anayempenda haijalishi dini wala kabila. Akizungumza na Gpl...
View Article"Nikipigwa MIMBA sitaitoa tena, Lazima nizae tu"...Lulu Michael
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti la Ijumaa, Lulu...
View ArticleSakata la Wema Sepetu kufanya fujo studio baada ya kuwakuta Diamond na...
U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa shuhuda kwamba juzi March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria...
View Article