Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga Iringa vijijini yametangazwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Iringa,kuwa chama cha CCM kimepata jumla ya kura 22962,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepada idadi ya jumla kura 5853 na chama cha CHAUSTA kimepata kura 150.
Hivyo chama cha CCM kimeshinda kwa asilimia 79.4,CHADEMA asilimia 20.1 na CHAUSTA asilimia 0.5.Matokeo
↧