SIASA ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa
bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi
wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo hufanya mwanasiasa ama Chama Cha Siasa
kutofanikiwa katika lengo lake kuu.
Kukosa falsafa kunasababisha Mwanasiasa ama Chama Cha Siasa kutokuwa
na dira ya kuifuata na matokeo yake ni kufanya siasa inayoegemea
↧
Ukweli MCHUNGU: Wapinzani hawana sifa ya kuongoza nchi ( A Comparative Analysis ) .....Paul Makonda
↧