Msanii wa filamu Rose Ndauka ambaye ni balozi wa usafi wa kampeni ya
‘Amka na Badilika Ng’arisha Tanzania’ amesema alijisikia wivu baada ya
kuona usafi wa jiji la Kigali nchini Rwanda hali ambayo imemfanya
aanzishe kampeni yake ya usafi nchini.
Akizungumza nasi, Rose amesema baada ya kutembelea jiji la
Rwanda nakuona hali yake,aliamua aanzishe kampeni itakayoihamasisha
jamii juu ya
↧