Mahakama
Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa uamuzi wa
pingamizi la awali la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) la kupinga maombi
ya kufanya marejeo kuhusu kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali
iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Katibu wa
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda.
DPP aliwasilisha pingamizi la awali dhidi
↧