Akiwa ameambatana na mkewe, Robby Mgimwa, Jumatatu ya Machi 17, 2014 Godfrey Mgimwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alitangazwa mshindi wa ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga baada ya kuvibwaga kwa kura za kishindo vyama vingine viwili vilivyoshiriki uchaguzi huo.
Katika uchaguzi huo uliofanyika Jumapili ya Machi 16, mwaka huu, Mgimwa alizoa kura 22, 962 ambazo ni sawa na asilimia
↧