Serikali
imeombwa kufuata nyayo za serikali ya Uganda chini ya Rais Yoweri
Museveni kwa kuktaa kuruhusu ushoga licha ya kuziudhi nchi za magharibi
zinazokingia kifua vitendo hivyo.
Ombi hilo limetolewa na Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Sheikh Mohammed
Muhenga, alipokuwa akiwahutubia waumini kabla ya swala ya Ijumaa
iliyoswaliwa msikiti hapo, jijini Dar es Salaam.
Imamu Muhenga
↧