Baada ya kutokea vurugugu zilizosababishwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge
Maalum na kupelekea Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Jaji
Joseph Warioba kutokuwasilisha rasimu ya pili ya Katiba kwa wajumbe hao,
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta aliitisha kikao cha
maridhiano na baadhi ya wajumbe wanaowakilisha makundi mbalimbali
yaliyopo katika Bunge hilo ili kupata
↧