Jumatatu ya leo, Machi 17, 2014 Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mhe.
Sammuel Sitta amelazimika kukiahirisha kikao kilichokuwa kinaendelea
jioni baada ya kutokea kutoelewana bainaa ya wajumbe na wabunge wa bunge
la katiba.
Vurugu zilitokea pale Mhe. Sitta alipomruhusu Jaji Joseph Sinde Warioba
(Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba), awasilishe Rasimu ya
Katiba hiyo Bungeni.
↧