Ombi la
marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
Tanzania, Sheikh Issa Ponda limetupiliwa mbali na Mahakama Kuu Kanda ya
Dar es Salaam leo ilipotoa
uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mkurugenzi wa
Mashitaka (DPP), akidai kuwa ombi hilo halikuwa na msingi kisheria.
Kesi hiyo iliyosikilizwa kwa saa 1 na dakika 40 ilitolewa uamuzi na Jaji
↧
Ombi la Sheikh Ponda latupiliwa mbali na Mahakama....Arudishwa Segerea akiwa chini ya ulinzi mkali
↧