Mwezi uliopita aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye BBA, Huddah
Monroe na Colonel Mustafa walitangaza uhusiano wao wa kimapenzi kwenye
kipindi cha ‘Kiti Moto’cha KTN.
Hata hivyo, Huddah ameibuka na kusema interview hiyo ilikuwa
imepangwa. Kwenye interview hiyo, wawili hao walidai kuwa wanapendena na
wanaweza kufunga ndoa.
Hata hivyo kwenye mahojiano na mtandao wa
Ghafla, Huddah
↧