Star wa filamu na muziki nchini Shilole anatarajia kufungua mgahawa wake
wa chakula utakaoitwa "Chuna Buzi " ambao utakuwa maeneo ya
Mwananyamala....
Akizungumza kwenye 255 ya XXL, Clouds FM,Shilole amesema ameamua kufungua mgahawa kwakuwa ana taaluma ya Hotel Management na pia mama yake alikuwa mama Ntilie.
“Mgahawa wangu ambao natarajia kuufungua hivi karibuni utakuwa naeneo ya
↧