Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye
amekata rufaa Kamati Kuu ya CCM kupinga adhabu ya onyo kali aliyopewa na
chama kutokana na madai ya kuanza kampeni za urais mapema kwa ajili ya
Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza na Mwananchi mjini Dodoma jana,
Sumaye alisema kwa ufupi hakuridhishwa na adhabu hiyo na kuthibitisha
hilo, tayari amekata rufaa.
Hata hivyo, alisema hadi jana hakuwa
↧