Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limekiri kuwepo kwa baadhi ya
wasanii wa nje wanaokuja nchini kufanya kwa madai ya kufanya shughuli za
Sanaa lakini hutumia vibali vyao vibaya kwa kujihusisha na biashara ya
'ngono' katika kumbi mbalimbali za starehe zinazojulikana kwa jina la
'Mujra Club'.
Hali hiyo imebainika baada ya Idara ya uhamiaji kubaini kuwa kuna
baadhi ya maofisa wa
↧