Ndugu na jamaa wa abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya
Malaysia iliyopotea kimaajabu March 8 mwaka huu, wametishia kugoma kula
ikiwa hawatapata taarifa kamili kuhusu ndege hiyo kutoka kwa maafisa wa
Malaysia.
Watu hao wameonesha hasira zao muda mfupi baada ya
kufanya mkutano na maafsia wa shirika la ndege hiyo huko Beijing,
China.
Ikiwa ni siku ya 12 leo tangu nchi 26
↧
Ndugu na jamaa wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia waishutumu Serikali....watishia kugoma kula
↧