Hali si nzuri mkoani Morogoro leo hii ambapo madereva daladala wamegoma kutoa huduma kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga kukamatwa ovyo na na kutozwa faini kubwa na mamlaka za usalama barabarani mkoani humo
Wanafunzi
wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa
kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani
Morogoro
↧