Jeshi
la polisi wilayani Nzega mkoani Tabora limemkamata mbunge wa jimbo la
Nzega Dkt. Hamis Kigwangalla aliyekuwa kwenye maandamano ya wachimbaji
wadogo wa dhahabu ya kupinga kufungwa kwa machimbo yao ya mwashina
yaliyo jirani na mgodi wa Resolute Tanzania limited.
Kabla
ya kukamatwa kwa mbunge huyo askari wa jeshi hilo wametumia mabomu ya
machozi na silaha za moto kuwatawanya
↧