KAMA mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba utaendelea kama linavyokwenda, uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, unaweza kusogezwa mbele hadi mwakani.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Pinda alisema muda
↧