Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Filamu ya Wema Sepetu 'Madame' kuingia sokoni leo

$
0
0
Filamu aliyoigiza Wema Sepetu kama mhusika mkuu iliyopewa jina la Madame (Our Own Crazy Bosy Lady) iliyotayarishwa na kampuni ya Simulizi African Entertainment itaingia sokoni leo (March 27).   Filamu hiyo imewasusisha waigizaji wengine kama Simon Mwapagata aka Rado, Maulid Ally, Sudi Ally na Deogratius Shija. Madame itasambwazwa na kampuni ya Steps Entertainment. <!--

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>