Ule ugomvi uliokuwepo kwa takribani miaka miwili kati ya mastaa
wakubwa na warembo Jackline Wolper na Irene Uwoya hatimaye
umefikia tamati baada ya kupatanishwa juzi.
Wawili hao walidaiwa kuingia
katika beef zito baada ya Uwoya kumsema Wolper vibaya kwenye media
ambapo pia aliwahi kukaririwa na gazeti moja akiwa jijini Arusha akisema
kuwa Wolper amemroga ili amshushe kwenye sanaa na
↧