WANANCHI wa vijiji kadhaa vilivyomo katika Jimbo la Chalinze, ambalo
Aprili 6, mwaka huu litafanya uchaguzi mdogo wa Ubunge, wamempa nafasi
kubwa ya kuibuka mshindi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kwa
mujibu wa uchunguzi tulioufanywa katika vijiji saba vya jimbo
hilo, wengi wa waliohojiwa kuhusu mshindi wa nafasi hiyo, walisema
Ridhiwani anashika namba moja kwa vile ni mtu
↧