Tatizo hili huwasumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na baadhi ya wanawake ambao tayari wameshafikia ukomo wa kuzaa.
Kwa mwanamke aliyekwishafunga kupata hedhi kuendelea kupata damu ya
hedhi au kutokwa na damu ukeni bila ya mpangilio siyo hali ya kawaida.
Mwanamke anaanza kuvunja ungo kuanzia umri wa miaka 12 na hufikia ukomo
kuanzia umri wa miaka 45. Kupatwa na damu ukeni
↧