Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J, Juma
Mchopanga aka Jay Mo, Joseph Haule aka Profesa Jay na Juma Cassim aka
Nature wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’.
Wimbo huo
pamoja na video yake vimefanyika kwenye studio za Williamz Visions chini
ya mtayarishaji Mike Mwakatundu aka Mike T.
Tazama video inayoonesha
wakali hao wakiwa wamevalia nguo
↧
Video: Jay Mo, Profesa Jay & Juma Nature wavaa gwanda za kijeshi na kutoa video mpya iitwayo "JWTZ"
↧