Viongozi Dini wakiongoza
ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa
Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Dodoma,aliefariki ghafa siku kadhaa zilizopita.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo
Pinda akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa
aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya
ya Dodoma,
↧