Mvua zilizonyesha usiku kucha( kuamkia March 27) jijini Dar es salaam zimesababisha
madhara makubwa Msasani village katika makazi ya watu baada ya maji kujaa hadi
ndani na magari kushindwa kutoka hali iliyosababisha watoto kutokwenda
shule na hata wazazi kushindwa kwenda makazini.
Mwandshi wetu alifika katika makazi hayo ya highland villa na
kulazimika kuingia ndani ya maji
↧