Wafanyakazi
walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye
kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika
stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili
wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital
ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa.
Sehemu
ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo
↧