TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.
Mwandishi ambaye alikuwa hospitalini hapo saa 5 usiku, alishuhudia mke huyo anayedaiwa kuwa wa ndoa akimpiga ngumi ‘nyumba ndogo’
↧