Kiongozi wa
Waislam wa mlengo wa siasa kali anayeitwa Abubakari Sharif maarufu kama
Makaburi ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Kenya usiku wa kuamkia leo.
Habari zinasema kuwa Makaburi aliuawa katika mtaa wa Shanzu mjini Mombasa ambako alikuwa anaishi.
Polisi wamekuwa wakimtuhumu Makaburi kwa kueneza itikadi kali za
kiisilamu miongoni mwa vijana wa kiisilamu mjini
↧