Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo
wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya
kuteketea kwa moto ndani ya nyumba.
Tukio hilo lilijiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa
Rufita, Mwanza-Road mjini Tabora baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi
kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani.
Habari za awali zilieleza
↧