Zoezi la kuwaondoa ombaomba katikati ya jiji la Dar es Salaam
limeanza ambapo halmashauri ya manispaa ya temeke imefanikiwa kuwakamata
baadhi ya ombaomba walioonekana katika maeneo ya manispaa yao kwa lengo
la kuwafikisha mahakamani na wengine kurejeshwa makwao.
Zoezi hilo limeendeshwa na maafisa wa manispaa ya
Temeke kwa kuzungunguka katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo kwa
↧