MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba hawajulikani walipo baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuvuka Mto Rufiji, kupinduka na kuzama majini.
Tukio hilo lilitokea juzi saa mbili usiku katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani baada ya mtumbwi huo kugonga kivuko kilichokuwa majini ambapo ajali hiyo ilichangiwa na mto huo kujaa maji.
Akizungumzia ajali hiyo, Kamanda wa Polisi mkoani
↧