MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Bw. Samuel Sitta, jana ameahirisha shughuli za Bunge hilo hadi Aprili 4 mwaka huu, ili kutoa fursa kwa kamati 12 zilizoundwa kujadili Rasimu ya Pili ya Katiba kuanzia sura ya kwanza hadi ya sita.
Alisema sura hizo ndizo zilizobeba mfumo mzima wa Serikali, Bunge, Mahakama, Haki za Binadamu na mambo mengine.
Akiahirisha shughuli za Bunge hilo mjini
↧