WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma kwa
kufanya mkusanyiko usio halali huku wakiwa wamebeba mabango
yanayohamasisha uvunjifu wa amani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) David Misime alisema tukio hilo lilitokea jana katika maeneo
mawili tofauti.
Aliwataja waliokamatwa katika tukio hilo ni Augustino Pancras (60),
↧