Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Thabit Mwambungu ameiambia FIKRA PEVU
leo Jumatano, Aprili 2, 2014 kuwa Serikali ya Mkoa huo imewafikisha
mahakamani wazazi 100 kwa tuhuma za kufanya sherehe baada ya watoto wao
kufeli mitihani.
Pamona na wazazi/walezi hao kujitetea kuwa walikosa karo ya kuwapeleka
watoto hao shule, imeelezwa pia kuwa mazingira duni ya kufundishia na
kujifunza katika
↧
Wazazi 100 mkoani Ruvuma wafikishwa mahakamani kwa kosa la kusherehekea watoto wao kefeli mitihani
↧