TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika
habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia virago”.
Habari hiyo inamkariri aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Mheshimiwa Jaji Joseph Warioba akidai kuwa Tume yake ilifukuzwa
kazi, kwamba haikupewa muda wa kuandaa na
↧