Watu watatu waliofahamika kwa
majina ya Msagala, Jacob na Mhando wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam wamefariki dunia.
Shughuli ya uokoaji ikiendelea.
Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.
Watu waliofika eneo la tukio kuwatambua marehemu.
Watu watatu waliofahamika kwa majina ya Msagala, Jacob na Mhando
wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam mchana wa leo wamefariki dunia
↧